SIKU YA UBORA WA VIWANGO AFRIKA

Mkurugenzi wa Uborawa ViwangoEdna Ndumbalo akizungumza kabla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa isha kuhusu ubora wa viwango barani Afrika iliyofanyika leo makao makuu ya shirika hilo jijini Dar es Salaam.
 Wageni na waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
 Afisa wa Shirika hilo ambaye kwa leo alikuwa MC akitoa maelezo kuhusu washindi
Kaimu Mkurugenzi wa TBS  Dk. Egid Mubofu,akizungumza katika hafla hiyo. Kushoto ni aliyekuwa jaji mkuu wa washindi Dk Eugenia Kafanabo na kulia ni Edna Ndumbalo


 Jaji Mkuu Dk. Euginia Kafanabo, akielezea jinsi mashindano yalivyoendeshwa
Baadhi ya washindi na washiriki wakisikiliza matokeo
Mshindi wa nneu akipewa zawadi
 Mshindi wa tatu akikabidhiwa zawadi

 Mshindi wa pili

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dk. Egid Mubofu, akimkabidhi Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Evarist Tairo, kompyuta mpakato baada ya kujinyakulia ushindi wa kwanza katika uandishi wa insha kuhusu ubora wa viwanda, makabidhiano hayo yalifanyika katika hafla ya siku ya ubora wa viwango barani Afrika iliyofanyika Makao Makuu ya shirika hilo jijini Dar es Salaam leo

 Maofisa wa shirika hilo na wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo


Picha ya pamoja na washindi waliojinyakulia zawadi
 Washindi na majaji wa shindano hilo

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.