TIGO YAKABIDHI VIFAA KWENYE KITUO CHA KULELE WATOTO MJINI MOSHI


Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata (kulia) akimkabidhi jezi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha watoto cha Amani Children's Home cha mjini Moshi, Kilimanjaro, Meindert Schaap ikiwa ni sehemu ya msaada wa vifaa vya michezo uliotolewa na Tigo kwa ajili ya kituo hicho



 Akiangalia Tsheti atakazokabidhiwa


Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha watoto cha Amani Children's Home cha mjini Moshi, Kilimanjaro, Meindert Schaap akitoa shukrani kwa mtandao wa simu za mkononi wa Tigo baada ya kupokea msaada wa vifaa vya michezo mbalimbali vikiwemo vya Kilimarathon. Kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata
 

 Maofisa wa Kampuni ya Tigo, wakiwa katika hafla hiyo
 Mkurugenzi huyo akizungumza
 Watoto cha Amani Children's Home cha mjini Moshi, Kilimanjaro pamoja na  wafanyakazi wa Tigo wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya mtandao huo kukabidhi vifaa vya michezo.



 Mtoto anayelelewa na  Amani Children's Home cha mjini Moshi, Kilimanjaro, Joyce Nganda akitoa neno la shukrani kwa waandishi wa habari baada ya kituo hicho kupokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka Tigo.

 


Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.