SAFARI YA MATUMAINI ILIVYOITEKA NCHINI KUPITIA ARUUSHA

 Akina mama kutoka wilaya ya kondoa wakicheza ngoma katika mkutano wa karne wa kutangaza nia ya kuomba kuteuliwa na Chama chake cha CCM, Edward Lowassa, kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Mkutano huo ulifanyika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid.jijini Arusha.
 Vijana marafiki wa Lowassa, kutoka Temeke wakiingia uwanjani
 Vijana wa Kimasai wakicheza ngoma za kijadi wakiwa kwenye jukwaa
 Marafikiwa Lowassa, kutoka morogoro wakiingia uwanjani
 Nyomi ilivyo uwanjani haijapata kutokea tangu uwanja huo ujengwe

Msaidizi Mkuu wa Lowassa, Hussein Bashe (wapili kushoto), akijadilianan jambo na wanakamati wenzake wa kamati ya mkutano huo  Kulia ni Dk. Chegebi mbunge wa zmani wa jimbo la Busega
 Wanahabari kutoka Dar wakiwa uwanjani hapo
Marafiki kutoka mkoa wa Mara wakingia Uwanjani
Ulinzi nao ulikuwa imara uwanjani hapo wakipita  kwa kukagua hapa na pale


Marafiki kutoka Monduli wakiingia uwanjani

 Viongozi wa dini wakiingia uwanjani

 Vipaumbele vya Lowassa akichanguliwa kuwa rais
 Marafiki kutoka Mbeya, nao wakiingia uwajani

Marafii kutoka Mwanza wakiingia uwanjani

 Wamasaai wakicheza ngoma za jadi

 Ngoma bila fimbo hainogi
Kijana akipuliza pembe kunogesha uchezaji wa ngoma hizo
 Mavazi ya kijadi wakiwa uwanjani hapo
 Hawakusahau kubeba bendela za chama tawala


 Kalamagi, akiwa amevishwa mgolole baada ya kuingia uwanjani hapo
 Waendesha pikipiki wakionyesha manjonjo yao uwanjani

Ndege ya marafiki wa Lowassa,ikizunguka uwanjani hapo

 Baadhi ya wabunge kutoka mkoa wa Mbeya wakiwasili uwanjani hapo
 Hii ni moja ya ndege iliyokuwa iruke kwa kuuongoza msafara wa Lowassa, kuingia uwanjani pamoja na kupiga picha za uwanjani hapo kwa juu lakiniilizuiiwa dakika za mwisho na muongoza ndege wa uwanja wa ndnege wa Arusha akidai hiyo ni amri kutoa ngazi za juu.

 Baadhi ya wananchi walizimia kutokana na msongamano wa watu wengi uwani hapo,
Wageni waalikwa wakifuatilia hituba ya Lowassa kupiakatika TV zilizokuwa zimetawanywa uwanjani hapo
Wapasha habari wakiwajibika huku wakiwa wamezungukwa na nyomi
Waalikwa wakifuatilia hotuba
 Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM kutoka zanzibar BoraAfya akihutubia umati huo na kutoa salam kutoka zanzibar
 Lowassa, akimkalibisha karamagi

 Rafikiwa Lowassa, Msukuma kutoka Mwanza baada ya kuwasili na Helkopta yake uwanjani hapo akisalimiana nao

Mbunge wa Mwibra CCM, kangi Lugola, akihutubia kwa niaba ya wabunge wa chama hicho na kusema mti mzuri hupopolewa mawe sanaaa  huyo ndiye Lowassa

 Bakari Mwapachu nae alikuwepo
Juma Mwapachu, akizungumza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa dar es Salaam Madabida
 Wabunge wa CCM waliofika hapo wakishangilia hotuba ya Lowassa

 Msukuma, akihutubia, yeye pia ni Mwenyekiti wa CCm Wialaya ya Geita
 Katibu wa CCM mkoa wa Arisha akihutubia
 Mzee wa Busara, Kingunge ngombare Mwiru, akizungumza na Lowassa kabla ya kuhutubia

 mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Arusha, akihutubia mkutano huo Nko, kabla ya kumwalika Lowassa kuhutubia
 Mama Regina Lowassa nae hakukosekana uwanjani hapo

Majadiliano ya busara Bashe, Katibu wa CCM, Arusha na kilumbe ngenda huku Lowassa, akiwasikiliza kwa umakini mkubwa
 Viongozi wa dini wakiwa uwanjani hapo

 Lowassa, akipungia mono tayari kuanza kuzungumza

Akicheza kwa mbwembwe ulipokuwa ukiimbwa wimbo wa Komba CCM CCM Mnamuona huyoooo



 Nyomi ya watu
Waalikwa wakifutilia hotuba yake kwenye machapisho waliyogawiwa
Mwapacha, Lupia na Masauni ambaye ni waziri kutoka zanzibar wakifuatilia hotuba



 Akihutubia nyomi hiyo

Mama Lowassa, akifuatilia hotuba yake




 Akimkalibisha Askofu wa Kanisa la Ufufuo na uzima Josephat Gwajima, kuhutubia kidogo



 Asiyempenda Lowassa, akale limao
 Akiushuhudia umati ulivyokuwa ukimshangilia
 Akiwapungia moono wageni waalikwa waliokuwa kwenye Jukwaa lubwa baada ya kuhutubia
Marafiki wawili ambao pia ni marafiki wakuu wa Lowassa, mmwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mgana Msindai na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyaga, hamis Mgeja, hawakukosekana katika mkutano huo

 Juma Mwapachu na Hussein Bashe, wakizungumza hku Msukuma, nae akitaka kusalimiana nae


Pprofesa Tibaijuka aakimsalimia 
 Waalikwa kutoka bagamoyo Gogo nae hakukosekana


 Mkurugenzi wa Agape TV, akaisalimiana nae
mchungaji akisalimiana nae

 msaidizi wake Maalum Aboubakari Lyingo, akimsikiliza kwa umakini
Ritha Mraki, Tibaijukana wakishangilia



Akimshukuru kingunge baada ya kuhutubia


Mama Lowassa na marafiki zake

 Msaidizi wake maalum Tendewa, akizungumza nae

 Msaidizi wake maalum Hussein Bashe, akizungumza nae

Waamasaai, wakitoka mkutanoni kwa maadamano baada ya kumalizika 

 Wabunge wakiagana nae
Barabara kuu ya kuingia mjini kupitia uwanjani hapo ilifungwa kutokana na wingi wa watu kuepuusha ajari

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.