WAKUU WA MIKOA WAPIGWA MSASA CHUO CHA TAIFA CHA ULIN ZI NDC

 Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja Jenerali Yacoub Mohamed, akisoma hotuba yake katika ufunguzi wa mafunzo ya uongozi kwa baadhi ya wakuu wa mikoa , makatibu wakuu na watendaji wa Idara za Serikali nchini yanayofanyikia chuoni hapo kwa muda wa siku tano kuanzia leo.

Wakifuatilia hotuba

 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Issa Haji Ussi Gavu, akifungua mafunzo hayo leo chuoni hapo

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, akifuatilia kwa makini hotuba hiyo

Wakipiga picha ya pamoja baada ya ufunguzi

Stephine Zelote, akisalimiana na mmoja wa makamada baada ya ufunguzi
 MWEnyekiti wa Baraza la chuo hicho Balozi <Martne Lumbanga , akizungumza na wanahabribaada ya ufunguzi huo
 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mataka(kuilia), akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Msenza , mazungumzo hayo yalifanyika kwenyen kipindi cha mapumziko katika mafunzo ya uongozi yanayofanyika katika Chuo cha  Taifa cha Ulinzi (NDC) Dar es Salaam. Katikati ni Wazri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Isaa Haji Usi Gavu.
 Katibu MKUU  Tuluka, akizungumza na baadhi ya wakuu wa mikoa




 Mkuu wa mkoa wa Arusha Gambo na Dendego


BARAZA LA HABARI MCT WATOA RIPOTI YAO KUHUSU MAKONDA
 Waanahabari na wadau wakiwa katika uzinduzi huo


Mwenyekiti wa uchunguzi huo Juma Thomas akiwafafanaulia jambno wanahabari leo
 Wandishi wa photo wakiwajibika




 Mwandishi Yamola akiuliza swali

 Baadhi ya wnahabari wakisoma na baadhi kubeba ripoti hiyo

 Mwanahabari Mtandao wa Jamii Foram akiuliza swali pia


 Katibu Mkuu wa Baraza la Habari (MCT), Kajubi Mkajanga, akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kuzidua ripoti ya uchunguzi kuhusu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuvamia kituo cha habari cha Craud Media, mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwake jana. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Uchunguzi Dk. Joyce Bazira na Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo  Wakili Juma Thomas.


BALOZI EMMANUEL MWAMBULUKUTU HATUNAE TENA

Mtoto wa marehemu Emmanuel Mwambulukutu Mpoki Emanuel akizungumza na baba zake wadogo nyumbani kwa marehemu Mikocheni Dar es Salaamjana kuhusu  taratibu za mazishi ya baba yake. 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.