WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIAHILISHA BUNGE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiandaa hotuba yake kabla ya kwenda kuisoma leo akiliahilisha bunge hadi 29 mwezi wa nane mwaka huu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisoma hotuba wakati akiliahilisha bunge lililodumu kwa muda wa miezi mitatu



Kikosi cha Brasibendi cha Jeshi la Polisi nchini kikisubili kupiga wimbo wa Taifa baada ya bunge kuahilishwa leo
Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini Profesa Sospiter Muhongo, akiwasili bungeni leo
Wabunge Mtemvu  (kushoto)na Kwagirwa, wakiwasiliana na wapiga kura wao muda kidogo kabla ya bunge kuahilishwa
Mbunge Kimbaki, akiwa na wageni wake  waliofika bungeni kwa ajili ya kujifunza
Spika Dkt. Tulia Ackson, akiwatambulisha wageni wa bunge  na badae kumkalibisha Waziri Mkuu kuliahilisha bunge

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.