LOWASSA IRINGA

 Mgombea urais wa Chadema, Edwarld Lowassa, akimnadi mgombea uibunge iringa mji9ni Mchungaji Peter Msigwa katika kampeni zake za kutaka kuongoza nchi
 Akisalimiana na mremavu baada ya kuwasili





 Mgombea Urais wa Chadema, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, na Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye(kushoto)wakisalimia wananchi katika uwanja Gangilonga mkoani Iringa baada ya akuwasili  kwenye mkutano wa kampeni


Mbunge wa Iringa Mjini anayemaliza muda wake, Peter Msingwa, akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa ) kwenye viwanja vya Gangilonga  mkoani Iringa 
 Wananchi wakishangilia
 S umaye akimwaga radhi Iringa
Lowassaa, akimnadai Mgombea ubunge Mungai
Bibi akionyesha mahaba kwa ukawa
 Picha hii siyo ya kuunga unga kama anavyosema mkuu wa nchi

Msigwa akitambulishwa


Mahaba nibebe  akinadada wakishangilia LOwassam alipokuwa akizungumza

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.