YANGA YATAKATA TAIFA

 Mshambuliaji wa Yanga,Andrey Countinho (kushoto) akimtoka beki wa Tanzania Prison,Jeremia Juma katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara,kwenye Uwanja wa Taifa.Picha na Michael Matemanga
 Akiwahesabu  kabla ya kupachiba bao
a


Mshambuliaji wa Yanga,Andrey Countinho (katika) akijaribu kupiga mpira huku mabeki wa Tanzania Prison,Jeremia Juma (kulia) na Nurdin Issa wakimzuia katika  mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara,kwenye Uwanja wa Taifa.

Mshambuliaji wa Yanga,Andrey Countinho akishangilia gori katika mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons katika Ligi Kuu Tanzania Bara




Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.