KAMPUNI YA TIGO TANZANIA YATOA ZAWADI ZA PASAKA KWA SHULE YA SINZA MAALUM

Wanamuzki Fid Q na Menina, wakizungumza na wanafunzi wa shule ya Msingi Sinza  maalum, jijini Dar es Salaam, baada ya kuwasili shuleni hapo na wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Tanzania, kwa ajili ya kutoa zawadi za Sikukuu ya Pasaka
Meneja wa Tigo tanzania, John Wanyancha (kulia0, akiwa na wafanyakazi wenzake wakisubili kukabidhi zawadi hizo
 Baadhi ya zawadi hizo zikiwa mbele ya wanafunzi
Afisa Mahusiano  na Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo Woide Sishael, akizungumza katika hafla hiyo

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo Tanzania Cecile Tiano, akizungumza na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sinza Maalum Simon Milolo, baada ya kufika hapo kwa ajaili ya kukabidhi zawadi kwa ajili yan sikukuu ya Pasaka, Hafla hiyo ilifanyika shuleni hapo juzi. Kulia ni Afisa  Mahusiano na Huduma kwa jamii wa kampuni hiyo Woinde Sishael

 Meneja Mkuu, akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi

 Akikabidhi ua kwa mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo pamoja na mwalimu wao

Wanamuziki wakiwa nyumba, Bela, barnaba, Menina na Fid Q

Akikabidhi zawadi kwa wamanafunzi bora

Bella, akitoa burudani hapo.

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.