HATIMAYE GWAJIMA ATOKA TMJ NA KUENDELEA KUHOJIWA KITUO CHA KATI

Mgarai ya polisi, yakimgonjea Gwajima, aruhusiwe katika hospitali ya TMJ ili ende kituo cha kati jijini Dar es Salaam kuendelea na mahojiano yake na polisi ni kwanini aliamua kumtukana Askofu  Pengo na kusababisha taharuki kwa waumini wa kikatoliki nchini  tena matusi mazito.

 Akitoka hospitalini TMJ leo huku akaiwa mdogo kama pilitoni  baada ya kuwaona maaskari wakimngojea
Upo chini ya ulinzi, askari akiwaelekeza wasaidizi wake kumpeleka kwenye gari waliloliandaa wao


 Akiingizwa kwenye gari la Polisi huku akilalama
 Safari ya kuelekea kituo cha kati
Wakikikunja kiti ili kiingizwe kwenye gari ili badae akifika huko akitumie tena







Baada ya kuwasili kituo cha kati, akiongozwa na askari








 Akiingizwa ofisini kwa mahojiano sijiu hatapata presha tena kama mwanzo
 Wachungaji wake wakisubili nje


 hata wachungaji wake wa kike walikuwepo

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.