WAFANYABISHARA KARIAKOO WAENDELEA KUIDINDIA TRA

 Maduka ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, yakiendelea kufungwa kutokana na mgogoro na TRA na bu nge leo limeingilia kati mgogoro huo wanataka uishi ama sivyo nawao kwa sababu ni wawakilishi wa wananchi watawaaimbia wananchi wasilipe kodi kutokana na usumbufu wanaoupata na jinsi serikali isivyokuwa sikivu.

 Wamiliki wakipiga soga
 Muuza kandambili akisubili wateja katika mtaa wa tandamti kariakoo

Wafanyakazi wa manispaa ya Ilala, kitengo cha maji machafu wakifikilia jinsi ya kuyaodosha maji machafu yaliyotuama  barabara ya Msimbazi sasa zaidi ya miezi miwili

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.