UFUKWE WA COCOBEACHI WAFURIKA WAOGEREAJI LEO


Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiogerea huku wenguine wakipunga upepo jana, katika ufukwe wa Coco Beach katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el-Fitr


 mmoja wa wafundishaji wa kuogerea akimtafuta mtu wa kufundisha, wengi wao wamedaiwa kuwalazimisha mapemzi wakiwa kwenye mafunzo hayo ndani ya maji yenye kina kilefu huku akimtishia kumwachia ili azame pindi anapokataa, wananchi wanatakiwa kuwa macho na wakware hao ,kwanini uende na mpenzi wako umwamini mtu kufundisha kuogerea huku mpenzi wako amevaa viguo vinavyomtamanisha mwalimu huku chuchu zikiwa wazi zikiwa zimelowanishwa na maji.
































Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.