WABUNGE WASHUHUDIA MAAJABU YA WIZARFA YA NISHATI KATIKA MAONYESHO YAKE

Wananchi wakienda kujionea maonyesho ya Wiki ya Nishati yanayofanyika katika viwanja vya bunge

Mbunge wa Kilwa Kaskazini Francis Ndulane (kushoto) na Mbunge wa jimbo la Igalula wilaya ya uyui mkoani Tabora Venant Protas, wakshjhudia kwenye chombo maalum jinsi bwawa la nyarere linavyokamilika kujengwa  karibu kwa asilimia 90. vifaa hivi vipo katika maonyesho ya nishati yanayoendelea viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Waziri wa Nishati, January Makamba (kulia), akizungumza na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby  katika maonyesho hayo Kushoto ni Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Geophrey Pinda


Mabanda yanaonekana jinsi yalivyopangwa kwa mpangilio  mkubwa kwa kanda

Wabunge wakipata maelezo kutoka  kwa maofisa wa wizara hiyo


 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.