WAZIRI PROFESA MKENDA AKUTANA NA KULA NAO CHAKULA CHA MCHANA WANAFUNMZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WAMA NAKAYAMA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa wa kidato cha sita wa   Shule ya Sekondari  ya WAMA – Nakayama iliyopo Kijiji cha Nyamisati Wilaya ya Rufiji , Mkoa wa Pwani, baada ya kutembelea bunge leo na kuweza kusikiliza majadiliano ya bajeti ya wabunge  na kuweza kuzungumza na wabunge na mawaziri mbalimbali pamoja na mlesi wao ambaye ni Mwenyekiti wa WAMA ambaye pia ni mbunge Salma Kikwete

Waziri Profesa Mkenda na Mwenyekiti wa WAMA Salma Kikwete, wakipiga picha na wanafunzi hao

Wanafunzi hao wakiwa ndani ya ukumbi wa bunge wakisikiliza majadiliana ya wabunge
Waziri Profesa Mkenda, akizungumza na uongozi wa shule hiyo



Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, naye alipata muda wa kukutana nao  na kuwasihi wasome sana wajiepushe na mambo ya hovyo ya kidunia kwani wakimaliza shule watayakuta 

 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.