MATUKIO MBALIMBALI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO KATIKA PICHA

 MZEE MKAPA AKIWASILI NA MKEWE KATIKA MAADHIMISHO HAYO


 Wake za Bilal wakiwasili kila mtu na gari lake
 Magari yao










 mlinzi wa kike wa Rais kikwete,akifuatia kwa nyuma

Akikagua gwaride hata hivyo mlinzi wake kulia amekuwa kama wanakagua woto





 Wakitoa heshima ya uaminifu kwa  rais
 Ndege zikipita angani kwa mwendo wa pole
 Askari wakiwa wamebeba bendera za majeshi

 Askari wakipita kwa mbele ya jukwaa







 Wamama askari wakiwa na bunduki na vifaa vya mawasilia ya anga
Askari jeshi MP



Mitambo ya kutungulia ndege


 Askari wa JKT

 FFU

Askari komandoo nao hawakuwa nyuma







 komandoo kwa mwendo wa kunyakua
 Chipukizi wakionyesha vitu vyao














 kwa pamoja kama ngedere mtini hawakuungua pamoja na kuwa na moto

 Siyo bunduki ni magongo mfano wa bunduki wakiwa wamebeba chipukizi

 kifaru kikiendeshwa na chipukizi hao


 Kikundi cha Utamaduni kutoka mkoa wa Mara


Rais Kikwete, akizungumza na Mkuu wa majeshi




 Wapiga picha wakiteseka na jua  mmoja akibungia maji kwa joto

 Mgoma kutoka pemba





 Chipukizi wakionyesha vitu vyao








wakionyesha ujuzi wa kupiga ngoma na kucheza

 Wapinzani walisusia hata hivyo Mrema alikuwepo uwanjani










 Viongozi wakipokea heshima kutoka kwa chipukizi








 Kwaya kutoka Chunya mbeya wakiimba wimbo wa amani







 Wanakwaya wa vikosi vya ulinzi na usalama wakiimba nao wimbo maalum




 Mtoto wa rais kikwete, akitoka kwenye sherehe hizo
 Rais akiondoka kwenye eneo hilo na bedera yake inashushwa


Rais Makapa, akiagana na Rais mstaafu wa zanzibar Amani karume

Balozi Ali Karume na mama yake wakitoka kwenye sherehe hizo

 Luteni jenerali Kikwelu akitoka kwenyen sherehe hizo


 Jenerali Waitara na Luteni Jenerali Ryiba nao wakitoka

 Mkuu wa JKT

 Mbunge Shekifu, akizungumza na wajeshi Ndomba na Mboma

 Rage kwenye msiba wa Mbita
 Waombolezaji kwa mbita
Mbita enzi za ujana wake

 Hapa akiapishwa kuwa balozi nchini Zimbabwe na rais Mkapa
 Nyumbani kwake katika maandalizi ya msiba

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.