Jumuiya ya Mabohara nchini ya Baps Swaminarayan Santha wazindua kitabu na kutoa msaada Lugoba Sekondari


 Marais wastaa wakibadilishana  mawazo walipokutana katika hafla ya Jumuiya ya Mabohara nchini ya Baps Swaminarayan Santha.  katika hafla ya uzinduzi wa kitabu  cha Transcendence kilichoandikwa na mwanazuoni wa India A.P.J. Abdul Kalam, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
 Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Subashi Patel, katikati yao akifurahia jambo
 Viongozi wa Dini hiyo wakiwa katika uzinduzi huo
 Mzee Andy Chande nae alikuwepo



 Mzee Dk. Mengi nae alikuwepo katika uzinduzi huo


 Wageni waalikwa wakishuhudia uzinduzi huo


Sadhu Brahmavihavidas kutoka Indiaakihutubia

 Wageni mashuhuri wakiwa mbele
 Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, akimpatia zawadi Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwingi katika hafla hiyo


 Subash Patel, katikati, akifurahia
 Mwapachu nae akitoa zawadi
 Mkuu wa Mkoa wa Said Meck Sadic, akimpatia zawadi Subash Patel
 Filbert Bai, akimpatia zawadi mzee Chande
 Emmanuel Nchimbi nae alikuwepo
 Mneki, Rameshi Patel, akitoa zawadi nae

RPC wa dar es Salaam, Alfredy Tibaigana nae alikuwepo

 Watoto wakionyesha uwezo wao
 Waalikwa wakishuhudia uzinduzi huo wa kitabu
 Watoto wakigawa vitabu
 Viongozi wakiwa wameshikilia vitabu hivyo




Rais Mstaafu Ali hassan Mwinyi, akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabohara nchini ya Baps Swaminarayan Santha. Subashi Patel (kushoto), katika hafla ya uzinduzi wa kitabu  cha Transcendence kilichoandikwa na mwanazuoni wa India A.P.J. Abdul Kalam, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam 





 Mgeni rasmi katika hafla hiyo Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, akisoma hotuba yake



 Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene, nae alikuwepo
 Baada ya kumalizika hafla



HAFLA YA UTOAJI ZAWADI KWA SHULE YA SEKONDARI LUGOBA


 Mwalimu wa Shule ya Sekondari Lugoba, Abdallah Sakasa, akizungumza katika hafla hiyo ya kukabidhiwa zawadi vifaa kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa shule hiyo zenye thamani ya sh Milioni 15. hafla hiyo ilifanyika leo jijini Dar es salaam na kuhudhuliwa na baadhi ya wanafunzi hao na wanajumiya ya dini hiyo

Mfadhili Mkuu wa shule hiyo Subashi patel, akisikiliza kwa makini
 Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo



 Sakasa na Subashi wakimkabidhi zawadi mgeni rasmi kutoka India

 Wakiwasikiliza wanafunzi walipokuwa wakisoma shairi


 Wanafunzi wakisoma shairi


 Afisa habari wa Makampun i ya M.M. Stell Aboubakary Mlawa nae alikuwepo

Wakikabidhiwa msaada wa mashine hizo maalum kwa ajili ya kujifunzia




 Mlezi Subashi patel, akizungumza
 Subashi Patel katika hafla hiyo akizungumza
 Wanajumuiya wakigawa zawadi kwa wageni

 Mashine ya kujifunzia moja wapo iliyotolewa kwa shule hiyo


 Mwanafunzi mwenyeulemevu wa macho Khaldi Sultani wa Shule ya Sekondari Lugoba Bagamoyo, akichapa kwa kutumia mashine maalum baada ya kupokea msaada wa mashine hizo kutoka kwa Sadhu Brahmavihavidas kutoka India (aliyeshika mashine) msaada huo unathamani ya Sh Milioni 15.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Aliyechuchumaa kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Abdallah Sakasa


 Sakasa, akizungumza na wanahabari baada ya kumalizika hafla hiyo
 Subashi na Sakasa, wakijadiliana jambo


Wanafunzi wakibadilishana mawazo

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.