MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM AZUNGUZIA MKAKATI WA KUIMARISHA JUMUIYA HIYO

 Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapoinduzi Dk. Edmund Mndolwa, akizungumza na wanahabari wa gazeti la Mtanzania  nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam leo, pamoja na mambo mengine alizungumzia kuimalisha jumuiya hiyo ambayo miaka kama sita iliyopita ilikuwa inafikilia kufutwa baada ya kushindwa kujiendesha na baada ya uongozi wa Bulembo kukamata jumuoiya hiyo na wajumbe wake akiwemo mwenyekiti huyu wa sasa imeweza kusimama na kuanza kujiendesha. moja ya malengo yake ni kuiona jumuiya hiyo inakuwa kioo cha watanzania na shule zake kuwa kimbnilio la vijana kwa ajili ya maendeleo yao na maendeleo ya Taifa la Tanzania.Kwa maelezo zaidi fuatilia makala zake katika matoleo ya Gazerti la Mtanzania yanayotalajiwa kuanza kutoka kuanzia kesho.
 Mwandishi Evance Magege, akihojiana nae leo nyumbani kwake
 Picha zake mbalimbali wakati akizungumza na kunyanyambua jumuiya na Chama cha Mapinduzi chini ya jemedali wake Dk. John Pombe Joseph Magufuli kioo cha Watanzania.





























 Dk. Mndolwa Mwenyekiti wa Wazazi Taifa





Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.