Tigona Reach for Change wazinduashindano la wajasiriamali jamii

 Meneja Uhusano wa Kampni ya Tigo Tanzania  John Wanyacha akiwatambulisha wageni waalikwakwenye uzinduzi wa
Changezimezinduashindanowajasiriamalijamiiliitwalo “Tigo Digital Change-makers”lenyelengo la kuibua mawazo ya kibunifu ambayo yatasaidiakutatutamatatizoyanayowakabiliwatotonavijananchini.





 Wanahabari wakichukua abaadhi ya matukio


Wananahari wakpat a yray









Press Release
Tigona Reach for Change wazinduashindano la wajasiriamali jamii

Killamshindikupokeadolazakimarekanimilioni 20,000kwaajiliyautekelezajiwamradi wake.
Dar es Salaam, Seeptemba 25, 2015. TigokwakushirikiananataasisiyaReach for Changezimezinduashindanowajasiriamalijamiiliitwalo “Tigo Digital Change-makers”lenyelengo la kuibuamawazoyakibunifuambayoyatasaidiakutatutamatatizoyanayowakabiliwatotonavijananchini.
MenejamkuuwaTigo Diego Gutierrez leoametangazauzinduziwashindanohilokatikamkutanonawaandishiwahabariuliofanyikajijini Dar es Salaam ambapoametoawitokwawatukushirikiiliwajiwekekatikanafasiyakushindafedhataslimudolazakimarekani 20,000 ambazokilamshindiatapewaazitumiekatikautekelezajiwamawazoyaoyakibunifu.
“Tigoikishrikianana Reach for changeitatoatuzoyadolazakimarekani20,000 kwakilammojakwawashindiwawiliambaowatakuwanamawazaobunifuzaidikiteknolojianakidijitaliyaliyonauwezowakuchangiakuletamaisha bora kwawatotokatikajamiiyakitanzania,” alisema Gutierrez.
Aliongezeakwamba, “Lengoletunikupatamawazoyakibunifuyakidijitaliambayoyataletanakutatuamatatizoyanayowakabiliwatotokwakiwangokikubwahukutukiendeleakuwekezakatikakukuzanakuimarishahudumazetuzamawasilianokatikamaeneoyotenchini.”
Mawazoyatakayowasilishwakupitiashindanohiliyanatakiwakuonyeshauwezowakutumiasimukidijititekinolojiayahabarinamawasilianokuletaufanisiwautekelezajiwamradihusika. Watakaopendakushirikishindanohiliwanawezakutumamaombikupitiamtandaowawww.tigo.co.tz/digitalchangemakers,kwamujibuwa Gutierrez.
Kwa upande wake, menejawanchiwa Reach for Change, Peter Nyanda,alisemalichayakupatakitita cha dola 20,000 washindipia watapewavifaavyakuendelezautekelezajiwamawazoyaoikiwanipamojanakupataushaurikutokakwawafanyakaziwaandamizikutokaTigona Reach for Change. Aidhawataunganishwanawajasiriamaliwengineambaotayariwamenufaikakutokananampangohuo.
MchakatohuuwakuwapatawajasiriamalijamiiwakidigitaliunaendananamkakatiwaTigowakuendelezamaishayakidijitalinchini. HuunimwakawannemfulilizoambapotaasisizaTigona Reach for Change zimekuwazikishirikianakuwasaidiawajasiriamalinchini.Jumlayawajasiriamaliwatanowamenufaikanampangokatikakipindihikiambaokwapamojanakupitiautekelezajiwamiradiyaowamewasaidiajumlayawatotozaidiya10,000 nchini.
Mwisho

KuhusuReach for Change
Reach for Change ni shirika lisilo la kiserikali lililoanzishwa nchini Sweden na lilianzishwa na Kinnevik, mwanzilishi wa kapuni ya Millicom. Dira ya Reach for Change ni kuhamasisha harakati za kimataifa za ubora, ujasiri na shauku kwa mawakala wa mabadiliko, kujenga dunia iliyo bora kwa watoto. Reach for Change inabainisha na kusaidia wajasiriamali wa kijamii barani Ulaya, Afrika na Asia.

KuhusuTigo
Tigo ni kampuni ya mawasiliano ya simu za mikononi yenye ubunifu mkubwanchiniTanzania ,ikijulikanakama “nembo ya maisha ya kidijitali ya nayojitosheleza”. Inatoa huduma mbalimbali kuanzia huduma ya sauti, ujumbemfupi, intaneti yenye kasinahudumazakifedhazakwenyemitandaoyasimuzamikononi, Tigoimeanzishaubunifukama vile Facebook ya Kiswahili, Kiunga cha TigoPesa kwawa tumiaji wa simu za Android & iOS, Tigo Music (Deezer) na huduma ya kwanza Afrika Mashariki kutuma fedha kwa njia ya simu za mikononi nje ya nchiye  yenye uwezo wa kubadilishara katika nchi husika

IntanetiyaTigoya 3G inatoahuduma bora kwawateja wake katikamikoayotenchinzima. Kati yamwaka 2013 namwaka 2014 pekeekampuniilizinduazaidiyamaeneomapya 500 yenyemtandaowaTigonakufanyakuwazaidiyamaeneo 2000 yamtandaonainapangakuongezauwekezaji wake marambiliifikapo 2017 katikasuala la upatikanajiwamtandaonakuongezauwezowaupatikanajiwamtandaokwamaeneoyasiyofikikakabisavijijini. Pamojanakuwanazaidiyawatejamilioni 9 waliosajiliwa, Tigoimeajirizaidiyawatanzania 300,000 ikiwanipamojanamtandaowawawakilishiwahudumakwawateja, wafanyabiasharawakubwawafedhazakwenyesimuzamikononi, mawakalawamauzonawasambazaji.

Tigoninembokubwayakibiasharayakampuni la Millicom, kampuniyakimataifainayoendelezamaishayakidijitalekatikanchi 12pamojanashughulizakibiasharakatikaAfrikanaamerikayaKusininainaofisikubwaUlayanaMarekani. Pamojanaujuzi Fulani walionaoambaounawafanyakubunimarakwamaranakuwafanyawawejuu, Millicomanaendeleakujengathamanikubwakwambia; kutumiadhanayaoya "mahitajizaidi"  hivindivyowanafanyabiasharanakurejeshanafasiyaokamaviongoziwamaishayakidijitalehasakatikamasokozaidiyakipekeenayenyechangamoto.
Kwa taarifazaiditembelea:  www.tigo.co.tz or wasilianana:
John Wanyancha – MenejaMawasiliano



Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.