DK.MAGUFULI AKIWA ZENJI LEO

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akipanada ndege kwenye Uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwenda Zanzibar kwa ajili ya utambulisho kwa wananchama wa CCM, leo

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Mgufuli na mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan, wakiwapungia mikono wananchi, walipokuwa wakitoka uwanja wa ndege wa Zanzibar kwenda Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya utambulisho wa wagombea hao
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Mgufuli akivishwa skavu baada ya kuwasili kwenye Ofisi Kuu  ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar, akiwa na mgombea wake Mwenza Samia Suluhu Hassan (wapili) kulia) kwa ajili ya Utambulisho kwa wana CCM

Mgombea wa Urais kwatiketi ya CCM, Dk. John Magufuli (kulia) akishiriki kuomba dua alipozuru Kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Abeid Amani Karume, Kisiwandui mjini Zanzibar, alikowenda kwa ajili ya utambulisho kwa wana CCM
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Mgufuli akilakiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohahmed Shein, alipowasili Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar, akiwa na Mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan (kulia), kwa ajili ya utambulsiho kwa wana CCM mjini Zanzibar, leo.


 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Mgufuli akiwasalimia wananchi, alipowasili  Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya utambulisho, leo. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar. Dk. Ali Mohammed Shein

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Zanzibar. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Zanzibar, Balozi Ali Seif  Iddi na mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan
 Bango la kumlaki Dk. Magufuli likiwa limeshukiliwa na vijana katika eneo la Kisonge, mjini Zanzibar.

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akizungumza katika hafla ya utambulisho wa mgombea huyo kwa wana CCM, iliyofayika leo, Ofisi Kuu ya CCM, Kiswandui mjini Zanzibar.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajabu Ruhavi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakibadilshan mawazo kwenye Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, wakati wa mapokezi ya Dk. Magufuli

 Mgombea Mwenza , Samia Suluhu na Balozi kalume wakizungumza
 wakiwapungia mkono waliojitokekza katika mapokezi hayo





Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.