DK.MAGUFULI KIDEDEA KUTOKA KANDA YA ZIWA

 Askari wa Usalama wa Taifa wakiwa wamemzunguka Dk.John Magufuli, wakati akitangazwa kuwa mshindi wa kinyanganyiro cha kuwania urais kupitia chama hicho katika kundi la wanachama 38 waliolejesha fomu na kupitia katika mchujo wa chama hicho mjini Dodoma.
Magufuli, wakiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu maalum kwa kumchagua
 Akipongezana na Makamu wake Samia Suluhu Salum baada ya kumtangaza

 Akiwahutubia wananchi wa dodoma katika uwanja wa Jamhuri baada ya kutangazwa na Rais Jakaya kikwete
 Wananchi wakiwa katika mkutano huo
 Rais Jakaya Kikwete, akiwapungia mkono wananchi waliofika katika uwanja wa Jamhuri
 Makamu wa Rais Dk. bilal, akizungumza na Dk. magufuli
Mzee wa Busra john Malecela, akizungumza na nape
Kicheko cha ushindi tumewakomoa na tumetoka na ushindi, mangula, magufuli, Anne makinda. na Mizengo pinda





Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.