KIKWETE AKABIDHIWA SHAHADA YA SHERIA YA CHUO KIKUU CHA DSM

Profesa Agnes Mwakaje wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimvika kofia ya kitaaluma Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Rasmi Rais Joho na cheti cha shahada ya heshima ya Doctor  of Laws(Honoris Causa) ikulu jijini Dar es Salaam leo.
 Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akimkabidhi Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete cheti cha Shahada ya Heshima ya Doctor of Laws(Honoris Causa) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Rais joho na cheti iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na maprofesa waandamizi wa chuo hicho.Tayari Rais Kikwete alishatunukiwa shahada hiyo katika mahafali ya 41 ya UDSM yaliyofanyika Octoba mwaka 2011.

Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepozi katika kiti baada ya kukabidhiwa
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandakla pamoja na maprofesa waandamizi wa chuo hicho muda mfupi baada hafla fupi ya kumkabidhi Rais Joho na Cheti cha Shahada ya Heshima ya Doctor of Laws(Honoris Causa) ikliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)
Watangazania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Jimbo la Dodoma Mjini wakiwa katika mkutano wa hadhara katika eneo la Nala,Munispaa ya Dodoma tayari kuomba kura kwa wananchi
(Picha na Ramadhan Hassan)

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.