VYOO VYA MFANO NCHINI VICHAKANI BASI

Mratibu wa Mradi wa usafi,afya yn mazingira kutoka Shirika la Maendeleo Karatu (KDA),Alfred Martin,akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani),moja ya choo cha mfano walichojenga katika eneo la Ofisi ya Kijiji cha Upper Kitete kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoa wa Arusha juzi,wakati walipokuwa wakitoa mafunzo ya umuhimu wa matumizi ya vyoo kwa wananchi wa kijiji hicho.
PICHA NA JANETH MUSHI

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.