MWADUI FC NA SIMBA


Mchezaji wa Mwadui Fc, Shaban Abiom akiwania mpira na mchezaji wa Simba Sc, Mwinyi Kazimoto kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga jana. Picha na Lordrick Ngowi
 Mchezaji wa Simba Sc, Shiza Kichuya akishangilia baada ya kuifunga Mwadui Fc kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga jana.
 Golikipa wa timu ya Mwadui,Shabani Kado akiokoa mpira kutoka kwa mchezaji wa Simba Sc kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga

Mchezaji wa Simba Sc, Janvier Bukungu akiwania mpira na mchezaji wa Mwadui, David Luhende kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga 

 Golikipa wa timu ya Mwadui,Shabani Kado akiokoa mpira kutoka kwa mchezaji wa Simba Sc kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga
 Wachezaji wa Simba Sc wakimpongeza mchezaji mwenzao, Mohamed Ibrahimu baada ya kufunga goli kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage
 Mchezaji wa Simba Sc, Janvier Bukungu akiwania mpira na mchezaji wa Mwadui, David Luhende


Kipa wa Mwadui Fc, Shaban Kado akiwa chini baada ya kushindwa kuokoa mpira kutoka kwa mchezaji wa Simba Sc, Mohamed Ibrahimu na kuwa goli

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.