TUNDU LISSU AWAHANYESHA MAWAKILI WA SERIKALI KISUTU



Mbunge Tundu Lissu, akiwapungia mkono wafuasi wa CHADEMA na UKAWA wakati akiletwa katika  mahakam ya hakimu Mkaazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayodaiwa ya uchochezi leo Kisutu
 Akishuka kwenye gari
 Polisi wa FFU, wakijipa jukumu la kuzuia wnananchi kuingia kwenye vyumba vya mahakama  wakati Tundu lissu akifikishwa
 Akiwasili mahakamani
 Lisssu na Mkewe Alicia Magabe Lissu wakingiam kwenye chumba cha mahakama
 Askari akiwaelekeze pa kukaa


 Wakionyesha Mapipoo mpoo tutahangaika nae
 Malya, wakili wake akisalimiana na Lissu

 Lissu na Mbowe wakisalimiana
Akisalimiana na Wenje
 Wakiteta kwenye chumba cha mahakama


 Tundu Lissu, akiwa katika kizimba akiwasiliana na askari kabla ya kuachiwa kwa dhamana huku akitetewa na mawakili 11
 Akizungumza na Mbowe akiwa kizimbani
 Ukawa nje ya mahakama
 Akizungumza na wanahabari kwa msisitizo akisema sasa ni muda wa huyu Dikiteta kuja kuthibitisha mahakamani kama siyo Dikiteta kwa magtendo yake na tabia yake


 Askari wakaaza kuwakamata  wanaukawa waliokuwa na mabango katika eneo hilo
Askari akiyasoma moja wapo


 Wakili Kibatara akizungumza nao waliokamatwa
Wakipelekwa mahabusu ya kituo cha kati

 Wakili kibatara akiushangaa ulinzi ulivyoimalishwa akidai  wangekuwa wakifanya hivyo hata sehemu wanakoua majambazi nadhani nchi ingekuwa shwali
 Polisi wakiwa na vyamoto wapo tayari kwa lolote katika eneo hilo



Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA