TMEA TANZANIA YATOA MSAADA KWA TBS LEO

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango tanzania (TBS), Joseph Masikitiko, akizungumza katika hafla ya utiaji saini  msaada wa miundombinu katika viwango uliotplewa na TMEA kwa TBS. Hafla hiyo ilifanyika ofisni kwake jijini Dar es Salaam jana katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adolf Mkenda na Kushoto ni Mkurugenzi wa TMEA Dk. Josaphat Kweka
 Maofisa wa TBS na TMEA waakiwa katika kikao hicho
 Afisa Habari wa TSB Rhoida Andusamile (kushoto),akielezea utiaji saini huo
 Dk. Josaphat Kweka, akizungumza katika hafla hiyo

 Wakitia saini baada ya kuzungumza
 Wakitia saini huku mamshahidi wakishuhudia utiaji huo


 Wakibadilishana hati hizo baada ya utiaji saini
 Katibu Mkuu Dk. Mkenda akizungumza
Wakipiga picha ya pamoja baada ya hafla hiyo

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.