TAKUKURU NA TRA WAWABAINI WAKWEPA KODI


 Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya mapato tanzania (TRA) Alphayo Kadata, akizungumza na wandishi wa habari kuhusu kugundua kuwepo na makampuni zaidi ya 300 yanayotumia risti hewa  za mamlaka hiyo na kukwepa kodi zaidi ya Sh Bilioni 300 kwa zaidi ya miaka 7 sasa, mazungumzo hayo yalifanyika makao makuu ya TAKUKURU leo jioni. kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valentino mlowola
 Akisoma baadhi ya makapuni hayo
 Mkurugenzi TAKUKURU, akizungumza
 Valentino Mlowola, akisistiza wakwepa kodi wote wajisalimisha ama sivyo wataishia kwenye vyombo vvya sheria
 Wanahabari wakichukua habari hizo

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.