MATUKIO LEO JIJINI DAR


Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko wa Tamesa  Mhandisi Japhet Maselle, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya uendeshaji wa vivuko nchini, mazungumzo hayuo yalifanyika Idara ya Habari (MAELEZO)Jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Habari Wizara ya Ujenzi Segolena Fransis na katikati ni Mkurugenzi wa Ufundi na Umeme Wizara ya Ujenzi Dk. William Nshama
 Mkurugenzi Msaidizi wa Maelezo Zamaradi Kawawa, akizungumza

Wanahabari wakiwajibika

Balozi wa Uingereza hapa nchini Dianna Melrose, akizungumza na Askari wa Kiingerza aliyepigana vita ya pili ya Dunia  Kapteni David Nickol Ex 6 KAR baada ya kuwasili katika mnara ya wa askari katikati ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kuweka shada ya maua iki ni kumbukumbu ya askari waliopoteza maisha yao katika vita vya kwanza vya Dunia vya 1914 na  1916 na 1939 na 1945 pamoja na vya Uganda na Tanzania vya 1978 hadi 1979. Kulia n i Meja Jenerali Issa Nassor kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.

Kapteni David Nickol, akizungumza na Meja Jenerali Issa Nassor, baada ya kumakabidhi zawadi


Kapteni David akipozi kwa picha
 


Balozi na Issa wakibadilishana mawazo


Balozi, akiwa na kapteni kwenda kuweka masdhada ya maua



Balozi akionyesha ujumbe ulioandikwa kwa kiswahili fasaha na kampeni huyo anayeongea kiswahili fasaha kama anatoka mjini Tanga.
 


Balozi akiweka shada la maua

Askari wa Kiingereza aliyepigana vita ya pili ya Dunia 1939-1945 Kapteni David Nickol , akiweka shada la maua kwenye mnara wa askari uliopo katikati ya jiji la Dar es Salaam jana ikiwa ni kuwakumbuka askari waliopigana vita vya kwanza vya Dubia na vya pili pamoja na vya Uganda Watatu ni Balozi wa Uiegereza hapa nchini  Dianna Melrose.

Meneja Jenerali Issa, akiweka maua



AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA LEO

AFISA Matoleo wa Intanet wa Kampuni ya Airtel, Erick Daniel akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya uzinduzi wa huduma mpya ya kampuni hiyo uzinduzi huo ulifanyika Makao Makuu ya Kmapuni hiyo jijini Dar es Salaam jana, kushoto ni Afisa habari wa Kampuni hiyo  Jackson Mmbando


Wanahabari wakiwajibi katika hafla hiyo ya uzinduzi
 




Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA