PICHA BUNGENI JIJINI DODOMA EO

Naibu Spika Mussa Zungu (kulia), akifuatilia warsha ya Wizara ya Utalii iliyoa ndaliwa kwa ajilki ya wabunge kujionea maeneo mbalimbali yanayokabiliwa na wanyama wakali wanaokula mazao ya wananchi. Ilifanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Riberata mulamula, asoma hotu alipokuwa akiwasilisha hotuba  ya bajeti ya wizara yake jana bungeni Dodoma.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe,kijbu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wabunge kuhusu wizara yake katika kipindi cha asubuhi cha bunge jijini Dodoma.
Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, wakifuatilia hotuba ya bajeti ya wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliopokuwa ikiwasilishwa bungeni jana.
Waziri wa Madini Doto Biteko akizungumza na wabunge wa viti maalum CCM, Oliver Semguruka(katikati) na Rozi Matembe.

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.