SHAKA AONGOZA MAPOKEZI YA MEMBE KWA KISHINDO NA KUMKABIDHI KADI YA UANACHAMA WA CCM.


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya 

CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka

 HAMDU Shaka akimkabidhi kadi ya 

CCM,aliyekuwa mgombea urais wa Chama 

Cha

 ACT Wazalendo, Bernard Membe aliyerejea 

CCM, katika Mkutano wa mbunge

 jimbo la Mtaka, Nape Nnauye katika Kijiji cha 

Rondo, Mtaka mkoani Lindi 

(Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa

 (NEC), ya CCM, Itikadi na Uenezi,

 Shaka Hamdu Shaka akipokipokea

 Kadi za Wanachama zaid ya 1600

 Walio rejesha kadi za Vyama Vya

 Upinzani katika  Mkutano wa mbunge

 jimbo la Mtaka, Nape Nnauye katika

 Kijiji cha Rondo, Mtaka mkoani Lindi

 (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).




 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.