MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTOTUMIA TUMBAKU DUNIANI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutovuta Tumbaku Duniani, mazungumzo hayo yalifanyika Ukumbi wa Habari wa bunge jijini Dodoma leoKushoto ni Meneja wa Kanda ya Kati wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)Seraphina Clephace

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu., akizungumza na wanahabari(kulia) ni Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa yasiyoyakuambukiza  Dkt, John Kiologwe

Mbunge wa Nyangwale , Nassoro Amar, akiuliza swali katika kipindi cha Maswali na majinu cha asubuhi
Mbunge wa Musoma Vijijini, Mwita Waitara, akiuliza swali kwa Waziri wa Nishati kwanini Umeme haujafika maeneo mengi ya jimbo lake

Waziri  wa Nchi ofisi ys Waziri Mkuu George Simbachawene, akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Elizer Mbuki Fereshi, mazungumzo hayo yalifanyika ndani ya ukumbi wa bunge leo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Afrika Mashariki  Balozi Liberata Mulamula, akiwasilisha bajetri ya wizara yake leo bungeni jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja, akizungumza na viongozi wa ngazi za juu wa wizara hiyo baada ya kumalizika warsha ya wizara hiyo na wabunge iliyofanyika leo mchana ukumbi wa Msekwa, jijini Dodoma

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.