PICHA ZA KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS DODOMA

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (wan ne kushoto) akisikiliza maelezo ya kuhusu mfumo wa majitaka unavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kushoto) ambao unachakata Majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. (Picha na Mpigapicha Wetu)


KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (katika) akikagua mifumo ya kuchakata majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph  na Mkuu wa Kitengo cha Majitaka na Mazingira DUWASA, Daniel Mgunda. (Picha na Mpigapicha Wetu)


KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (katikati) akisikiliza maelezo kuhusu mfumo wa majitaka unavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kushoto) ambao unachakata Majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. (Picha na Mpigapicha Wetu)

 

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga akipanda mti wa mparachichi katika eneo la mifumo ya kuchakata majitaka inayoendeshwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) baada ya kuikagua jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. Watatu kulia ni Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph.(Picha na Mpigapicha Wetu)

 

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.