WAZIRI MKUU MAJALIWA NA MATUKIO YA PICHA BUNGENI LEO
MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA STANSLAUS MABULA, akisoma lipoti t=ya kamati yake leo bungeni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na madiwa kutoka Arumeru Mashariki waliotembele bunge leo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wabunge katika kipindi cha mapumziko cha bunge leo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge Mwita Getere
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge Tale Tale wakitoka bungeni
Wazir Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimina na Mbunge Vita Kawawa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na mbunge Assenga
Comments
Post a Comment