SIMBA ILIVYOCHEZESHWA KWATA NA MGAMBO HUKO TANGA


Emmanueli Okwi (kushoto) akiwania mpira na beki wa Mgambo JKT,Ramadhani Malima.

 

 Ramadhani Singano (kushoto) akimtoka beki wa Mgambo JKT,Bashiru Muhamed.


 Kiungo wa Simba,Abdi Banda (kushoto) akiwania mpira na Salim Gilla.

Emmanuel Okwi akigombana na kiungo wa Mgambo JKT,Novaty Lufunga

Mashabiki wa Simba wakiishangilia timu yao.

Kiungo wa Simba,Abdi Banda (kushoto) akiwania mpira na beki wa Mgambo JKT,Ramadhani Malima


Wachezaji wa Mgambo JKT wakishangilia goli.

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?