ZITO KABWE AWAOMBA KURA WANANCHI JIMBO LA KIGOMA MJINI

 

John Bukuku

Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini Ndugu Zitto Zuberi Kabwe akihutubia maelfu ya watu waliojitokeza katika uzinduzi rasmi wa kampeni zake katika jimbo hilo leo wakati akitangaza sera za chama chake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA