UDP WACHUKUWA FOMU NA KUSEMA WATANZANIA WATAWAJAZA MAPESA

Wanachama na mashabiki wa Chama cha UDP, wakiwasilina mgombea wao ofisi za Tume ya Uchaguzi mkwa ajili ya kuchukuwa fomu ya kugombea urais leo


Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima , akiwaongoza wagombea hao kuingia chumba cha mikutano cha Tiume hiyo kwa ajili ya Kukabidhiwa Fomu




Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akimkalibisha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi kuwakabidhi fomu wagombea hao

 

 






Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akiwasomea matumizi ya fomu  jinsi ya kuzijaza baada ya kukabidhiwa





Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC),  Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akimkabidhi Saum Hussein Rashid, mkoba wenye fomu za  kugombea Urais  (kushoto) ni Mgombea mwenza Juma Khamis Faki 
















Saum Hussein Rashid, akizungumza na wanahabari  na kuwaambia kwamba watanzania wamekuwa maskini chama chake kikichukuwa madaraka ya kuongoza nchi kitawajaza fedha watanzania hawatakuwa na umaskini walionao sasa Aidha ameipongeza Tume ya Taifa Huru ya Uchaguzi kwa mipangilio yake mizuri na ameiomba hata kwenye kutangaza matokeo ya kura wafanye hivyo.

 Wana udp wakiimba UDP yasonga mbele, hata hivyo mwanzilishi wa chama hicho John Momose Cheyo hajaonekana kushuhudia  uchukuaji wa fomu za uteuzi  kiti cha Rais.

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?