RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KINACHOTEUA WAGOMBEA UBUNGE
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu
ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini
Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza
la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti
Maalum.
Comments
Post a Comment