NEEMA LUGANGIRA AKUTANA NA PAPA

 

 


 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Viongozi Wanawake Duniani (WPL) na Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Neema Lugangira amekutana, kuzungumza na kusalimiana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo wa Kumi na Nne kwenye Makazi yake Jijini Vatican nchini Italia leo Jumamosi tarehe 23 Agosti, 2025.

Lugangira amekutana na Papa Leo siku chache baada ya kuteuliwa rasmi kuwa Katibu Mkuu wa WPL yenye makao yake makuu Jijini Brussels nchini Ubelgiji akiwa Mtanzania wa kwanza kuhudumu kwenye Jumuiya hiyo ya Kimataifa.

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?