MWENYEKITI WA CCM AONGOZA KIKAO CHA UTEUZI WABUNGE WAPYA
YA CCM CHA UTEUZI WA MWISHO WA WAGONBEA UBUNGE
Mwenyekiti wa
Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia
Suluhu Hassani akiongoza kikao cha Halmashuri Kuu ya CCM Taifa, ambacho
kinafanya uteuzi wa mwisho wa majina ya Wanachama waliyoomba nafasi za
Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Jimbo na Viti Maalum leo
Jumamosi Agosti 23,2025 mkoani Dodoma.
Comments
Post a Comment