MGOMBEA WA URAIS CHAMA CHA SAUTI YA UMMA ACHUKUWA FOMU TUME HURU YA UCHAGUZI
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akiwakabidhi begi lenye fomu za kuomba uteuzi wa rais, Majalio Paul Kyala na mgombea wake mwenza Satia Mussa Bebwa
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima (kulia), akishuhudia makabidhiano hayo
Wanahabari wakiwa katika tukio hilo
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akimuonyesha sehemu ya kusaini daftari kuonyesha kwamba amechukuwa fomu
Wanachama wakishuhudia uchukuaji wa fomu
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akiagana nao
Mgombea huyu alisema atafanya mabadiliko ya Katiba mpya iliyoishia njiani na nguvu kazi ya vijana ambao ni nguvu kazi kunatatizo husasan vijana wa kiumeSaut ya Umma wakiwasili ofisi za tume
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima akiwaongoza kuingia ukumbini kwa ajili ya kuchukuwa fomu
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akimkalibisha Mwenyekiti wa Tume kumkabidhi fomu
Comments
Post a Comment