MGOMBEA CUF ACHUKUWA FOMU YA URAIS TUME YA UCHAGUZI

Msafara wa mgombea wa Urais wa Chama cha Wananchi CUF Gombo Samandito Gombo, ukiwasili leo makao makuu ya ofisi za Tume ya Taifa Huru ya Uchaguzi zilizopo eneo la Njedengwa jijini Dodoma kwa ajili ya kuchukuwa fomu ya kuomba ridhaa ya urais wa Tanzania.


Wanangangari wakiwasili  tayari kushuhudia upokeaji wa fumo

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akiwaongoza wagombea hao kuingia ofisini kwa ajili ya kukabidhiwa fomu baada ya kukidhi vigezo vilivyowekwa na Tume hiyo


Wajumbe wa Tume hiyo na Wakuu wa Idara za Tume hiyo, wakishuhudia utoaji wa Fomu



Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akimwomba Mwenyekiti wa tume hiyo kuwakabidhi fomu wagombea hao



Wanachama na mashabiki wa chama hicho wakiwa ukumbini


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akiwasomea taratibu za ujazaji wa fomu  bkabla ya kuwakabidhi na kusaini katika kitabu 






Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akimkabidhi mgombea huyo Gombo Samandito Gombo na Mgombea Mwenza wake Husna MohamedAbdalla, mkoba wenye fomu hizo na Kulia anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Tume hiyo Kailima 














Mkurugenzi wa Tume hiyo Kailima, akikabidhi kitabu cha kusaini kwamba wamechukuwa fomu hizo


Mkurugenzii Kailima, akiwaongoza kutoka katika ofisi za Tume hiyo baada ya kukabidhiwa Fomu
Wanahabari wakiwasubili wagombea hao kuzungumza nini matalajio yao pindi wananchi wa Tanzania wakiwapa ridhaa ya kuongoza















Mwanachama wa Chama hicho akiwasili ofisi za Tume kushuhudia tukio hilo


 

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?