MGOMBEA ADC ADAI KUCHELEWESHWA NA BARABARA KUFIKA OFISI ZA TUME

Wanachama  na wafuasi wa chama cha ADC wakiwasili na mgombea wa chama hicho katika ofisi za Tume ya Uchaguzi jijini Dodoma kwa ajili ya kuchukuwa fomu ya kuomba kugombea urais wa Tanzania


Mgombea urais wa Chama cha ADC, Willson Elias Mulumba (kushoto) na mgombea mwenza Shoka Khamis Juma, wakitoa salam za chama hicho baada ya kuwasili ofisi za Tume hiyo 

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akiwaongoza kuingiza ukumbini kwa ajili ya kuchukuwa fomu




Mgombea urais wa Chama cha ADC, Willson Elias Mulumba (kushoto) na mgombea mwenza Shoka Khamis Juma, wakiwasili ofisi za tume ya Uchaguzi jijini Dodoma tayari kwa kuchukuwa  fomu 

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akimkalibisha Mweenyekiti wa tume hiyo kuwakabidhi fomu


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC),  Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akisoma hotuba kabla ya kuwakabidhi fomu




Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima, akimkabidhi mMwenyekiti wa mtume hiyo mkoba wenye fomu kwa ajili ya kuwakabidhi  wagombea hao






Mkurugenzi Kailima, akiandaa daftari la kusaini wagombea hao 





Mkurugenzi Kailima(kulia), akiwaaga wagombea hao baada ya kukabidhiwa  fomu na Mwenyekiti wa tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi leo.
Mgombea urais wa Chama cha ADC, Willson Elias Mulumba (kulia) na mgombea mwenza Shoka Khamis Juma, wakiwaonyesha bengi wanahabari  baada ya kukabidhi kisha kufanya mazungumzo nao na kusema
 akipata madaraka elimu itakuwa bure kuanzia chekechea hadi chuo Kikuu , kuunganishiwa umeme bure wananchi

 

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?