MAKALLA AKITANGAZA MAJINA YA WABUNGE WALIOTEULIWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa rasmi kuhusu orodha ya wagombea wa nafasi za Ubunge walioteuliwa na chama hicho kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Katika mkutano huo uliofanyika makao makuu ya chama, CPA Makalla alieleza kuwa uteuzi wa wagombea hao umezingatia vigezo mbalimbali ikiwemo uadilifu, uwezo wa kiuongozi, kukubalika kwa wananchi, na uzingatiaji wa maadili ya chama. Amesema kuwa Kamati Kuu ya CCM Taifa ilipitia majina ya wagombea wote waliopita hatua za awali, ikiwa ni pamoja na mahojiano, uchambuzi wa taarifa zao, na mapendekezo ya vikao vya ngazi za chini kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho. CPA Makalla amewataka wagombea walioteuliwa kuwa na mshikamano, huku akisisitiza kuwa wote waliokosa nafasi hiyo bado wana nafasi ya kuendelea kulitumikia taifa kwa njia nyingine ndani ya chama. “CCM itaendelea kuimarisha demokrasia ya ndani kwa kuhakikisha kila mwanachama anapata nafasi ya kushiriki kikamilifu katika shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba ya chama chetu,” aliongeza Makalla. Amesema orodha kamili ya majina ya wagombea walioteuliwa itabandikwa katika ofisi zote za CCM nchi nzima na pia kupatikana kupitia tovuti rasmi ya chama kwa ajili ya umma.
!
TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA
UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA
MAJIMBO NA VITI MAALUM
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinapenda kuwajulisha wanachama wake na
umma wa Watanzania kuwa, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika
kikao chake cha tarehe 23 Agosti, 2025 imefikira na kufanya uteuzi wa
mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na majina
ya wanachama wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa
majimbo na Viti Maalum. Majina ya walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-
1. MKOA WA ARUSHA
1. Ndg. Paul Chrisant MAKONDA Arusha Mjini
2. Dkt. Johannes Lembulung’ LUKUMAY Arumeru Magharibi
3. Ndugu Daniel Awack TLEMAH Karatu
4. Dkt. Steven Lemomo KIRUSWA Longido
5. Ndugu Joshua NASSARI Arumeru Mashariki
6. Ndugu Isack COPRIAO Monduli
7. Ndugu Yannick Ikayo NDOINYO Ngorongoro
2. DAR ES SALAAM
1. Ndugu Haran Nyakisa SANGA Kigamboni
2. Ndugu Angellah Jasmine MBELWA KAIRUKI Kibamba
3. Prof. Alexander Kitila MKUMBO Ubungo
4. Ndugu Mariam KISANGI Temeke
5. Ndugu Abdallah Jafari CHAUREMBO Chamazi
6. Ndugu Kakulu Buchard KAKULU Mbagala
7. Ndugu Geofrey Anyosisye TIMOTH Kawe
8. Ndugu Abbas GULAM (Tarimba) Kinondoni
9. Ndugu Mussa Azzan ZUNGU Ilala
10. Ndugu Jerry William SILAA Ukonga
11. Ndugu Bonnah L. KAMOLI Segerea
12. Ndugu Dougras Didas MASABURI Kivule
"
3. MKOA WA DODOMA
1 Ndugu Kenneth NOLLO Bahi
2. Ndugu Deogratius John NDEJEMBI Chamwino
3. Ndugu Livingston LUSINDE Mvumi
4. Ndugu Kunti Yusuph MAJALA Chemba
5. Ndugu Paschal Inyasa CHINYELE Dodoma Mjini
6. Ndugu Antony MAVUNDE Mtumba
7. Ndugu Ashatu Kachwamba KIJAJI Kondoa Vijijini
8. Ndugu Mariam Ditopile MZUZURI Kondoa Mjini
9. Ndugu George Natany MALIMA Mpwapwa
10. Ndugu George Boniface SIMBACHAWENE Kibakwe
11. Ndugu Isaya Marugumi MOSES Kongwa
4. MKOA WA GEITA
1. Dkt. Dotto Mashaka BITEKO Bukombe
2. Dkt. Jafar Rajab SEIF Busanda
3. Ndugu Cornel Lucas MAGEMBE Chato Kaskazini
4. Ndugu Pascal Lucas LUTANDULA Chato Kusini
5. Ndugu Chacha Mwita WAMBURA Geita Mjini
6. Ndugu Musukuma Joseph KASHEKU Geita
7. Ndugu Kija Limbu NTEMI Katoro
8. Ndugu Fagasoni Aron NKINGWA Mbogwe
9. Ndugu Hallen Nassor AMAR Nyang’wale
5. IRINGA
1. Ndugu Fadhili Fabian NGAJILO Iringa Mjini
2. Ndugu William Vanging’ombe LUKUVI Ismani
3. Ndugu Jackson Gideon KISWAGA Kalenga
4. Dkt. Ritta Enespher KABATI Kilolo
5. Ndugu Dickson Nathan LUTEVELE Mafinga Mjini
6. Ndugu David Mwakiposa KIHENZILE Mufindi Kusini
7. Ndugu Exaud KIGAHE Mufindi Kaskazini
6. KAGERA
1. Eng. Ezra John CHIWELESA Biharamulo Magharibi
2. Ndugu Johansen MUTABINGWA Bukoba Mjini
3. Ndugu Jasson Samson RWEIKIZA Bukoba Vijijini
#
4. Ndugu Innocent Lugha BASHUNGWA Karagwe
5. Ndugu Khalid Mussa NSEKELLA Kyerwa
6. Ndugu Florent Laurent KYOMBO Misenyi
7. Ndugu Adonis Alfred BITEGEKO Muleba Kaskazini
8. Dkt. Oscar Ishengoma KIKOYO Muleba Kusini
9. Ndugu Dotto Jasson BAHEMU Ngara
7. KATAVI
1. Ndugu Laurent Deogratius LUSWETULA Kavuu
2. Ndugu Thomas Kampala MAGANGA Katavi
3. Ndugu Haidar Hemed SUMURY Mpanda Mjini
4. Ndugu Anna Richard LUPEMBE Nsimbo
5. Ndugu Moshi Selemani KAKOSO Tanganyika
8. KIGOMA
1. Ndugu Alan Thomas MVANO Kakonko
2. Ndugu Florance George SAMIZI Muhambwe
3. Prof. Joyce NDALICHAKO Kasulu Mjini
4. Ndugu Edibily Kazala KIMNYOMA Kasulu Vijijini
5. Prof. Pius YANDA Buhigwe
6. Ndugu Peter J. SERUKAMBA Kigoma Kaskazini
7. Ndugu Nuru Issa KASHAKARI (KANDAHALI) Kigoma Kusini
8. Ndugu Clayton Revocatus CHIPONDA (BABA
REVO)
Kigoma Mjini
9. KILIMANJARO
1. Ndugu Ibrahim Mohamed SHAYO Moshi Mjini
2. Prof. Adolf Faustine MKENDA Rombo
3. Ndugu Anne Kilango MALECELA Same Mashariki
4. Dkt. Mathayo David MATHAYO Same Magharibi
5. Ndugu Morris Joseph MAKOI Moshi Vijijini
6. Ndugu Enock Zadock KOOLA Vunjo
7. Dkt. Godwin Aloyce MOLLEL Siha
8. Ndugu Saashisha Elinikyo MAFUWE Hai
9. Ndugu Ngwaru Jumanne MAGHEMBE Mwanga
$
10. LINDI
1. Ndugu Mohamed Mussa UTALY Lindi Mjini
2. Ndugu Salma Rashidi KIKWETE Mchinga
3. Ndugu Kinjeketile Ngombale MWIRU Kilwa Kaskazini
$% Ndugu Hasnain Gulamabbas DEWJI Kilwa Kusini
5. Eng. Mshamu Ali MUNDE Liwale
6. Ndugu Nape Mosses NNAUYE Mtama
7. Ndugu Kaspar Kaspar MMUYA Ruangwa
8. Ndugu Fadhili Ally LIWAKA Nachingwea
11. MANYARA
1. Ndugu Emmanuel John KHAMBAY Babati Mjini
2. Ndugu Daniel Baran SILLO Babati Vijijini
3. Ndugu Zacharia Paulo ISSAAY Mbulu Mjini
4. Ndugu Emmanuel Qambaji NUWAS Mbulu Vijijini
5. Ndugu Asia Abdulikarim HALAMGA Hanang’
6. Ndugu James Kinyasi MILLYA Simanjiro
7. Ndugu Edward Ole Lekaita KISAU Kiteto
12. MARA
1. Ndugu Ester Amos BULAYA Bunda Mjini
2. Ndugu Boniphace Mwita GETERE Bunda Vijijini
3. Dkt. Wilson Mahera CHARLES Butiama
4. Ndugu Mgore Miraji KIGERA Musoma Mjini
5. Prof. Sospeger Mwijarubi MUHONGO Musoma Vijijini
6. Ndugu Jafari Wambura CHEGE Rorya
7. Ndugu Mary Daniel JOSEPH Serengeti
8. Ndugu Esther Nicholaus MATIKO Tarime Mjini
9. Ndugu Mwita Mwikwabe WAITARA Tarime Vijijini
10. Ndugu Kangi Alphaxad LUGORA Mwibara
13. MBEYA
1. Ndugu Adkin Patrick MWALUNENGE Mbeya Mjini
"% Ndugu Patali Shida PATALI Mbeya Vijijini
3. Dkt. Tulia ACKSON Uyole
4. Ndugu Bahati Keneth NDINGO Mbarali
5. Ndugu Baraka Ulimboka MWAMENGO Kyela
&
6. Ndugu Lutengano George MWALWIBA Busokelo
7. Ndugu Anton Albert MWANTONA Rungwe
8. Ndugu Masache Njelu KASAKA Lupa
14. MOROGORO
1. Abdul Aziz Mohamed ABOOD Morogoro Mjini
2. Hamisi Shabani TALE TALE Morogoro Kusini
Mashariki
3. Zuberi Yahaya MFAUME Morogoro Kusini
4. Ahmed Mabkhut SHABIBY Gairo
5. Sarah Msafiri ALLY Mvomero
6. PROF. Palamagamba John KABUDI Kilosa
7. Dennis Lazaro LONDO Mikumi
8. Salim Alaudin HASHAM Ulanga
9. Mecktrids Fratern MDAKU Malinyi
10. Abubakar Damian ASENGA Kilombero
11. Kellen Rose RWAKATARE Mlimba
15. MTWARA
1. Ndugu Joel Arthur NANAUKA Mtwara Mjini
2. Ndugu Arif Selemani PREMJI Mtwara Vijijini
3. Ndugu Abdallah Dadi CHIKOTA Jimbo La Nanyamba
4. Ndugu Katani Ahmadi KATANI Tandahimba
5. Ndugu Rashidi Mohamedi MTIMA Newala Mjini
6. Ndugu Yahaya Esmail NAWANDA Newala Vijijini
7. Ndugu Issa Ally MCHUNGAHELA Lulindi
8. Ndugu Leonard Douglas AKWILAPO Masasi
9. Ndugu Faraji Buriani NANDALA Ndanda
10 Ndugu Yahya Ally MHATA Nanyumbu
16. MWANZA
1. Ndugu Kafiti William KAFITI Morogoro
2. Ndugu Bulala Mtesigwa COSMAS Kwimba
3. Ndugu Bujaga Charles MOSES Sumve
4. Ndugu Kiswaga Destery BONIVENTURE Magu
5. Ndugu Silvery Luboja SALVATORY Misungwi
6. Ndugu nzilanyingi Francisco JOHN Nyamagana
'
7. Dkt. Swetbert Zacharia MKAMA Ukerewe
8. Ndugu Tabasamu Hamis MWAGAO Sengerema
9. Ndugu Erick James SHIGONGO Buchosa
17. NJOMBE
1. Ndugu Festo Zacharius SANGA Makete
2. Ndugu Joseph Zacharius KAMONGA Ludewa
3. Ndugu Festo John DUGANGE Wangingómbe
4. Ndugu Daniel Godfey CHONGOLO Makambako
5. Ndugu Edwin Enosy SWALLE Lupembe
6. Ndugu Deodatus Philip MWANYIKA Njombe Mjini
18. PWANI
1. Ndugu Mohamed Omary MCHENGERWA Rufiji
2. Ndugu Silyvestry Francis KOKA Kibaha Mjini
3. Ndugu Amina Mussa MKUMBA Kibiti
4. Ndugu Subira Khamis MGALU Bagamoyo
5. Ndugu Ridhiwani Jakaya KIKWETE Chalinze
6. Ndugu Hamoud Abuu JUMAA Kibaha Vijijini
7. Ndugu Abdallah Hamisi ULEGA Mkuranga
8. Dkt. Selemani Said JAFO Kisarawe
9. Ndugu Omari Juma KIPANGA Mafia
19. RUKWA
1. Ndugu Edifonsi Joackim KANONI Kalambo
2. Ndugu Salum Hamad KAZUKAMWE Nkasi Kaskazini
3. Ndugu Moses Ludovico KAEGELE Nkasi Kusini
4. Ndugu Aeshi Khalfan HILALY Sumbawanga Mjini
5. Ndugu Deus Clement SANGU Kwela
20. RUVUMA
1. Ndugu Jonas William MBUNDA Mbinga Mjini
2. Ndugu Judith Salvio KAPINGA Mbinga Vijijini
3. Dkt. Juma Zuberi HOMERA Namtumbo
4. Ndugu Sikudhani Yassin CHIKAMBO Tunduru Kaskazini
5. Ndugu Fadhil Sandali CHILOMBE Tunduru Kusini
6. Ndugu John John NCHIMBI Nyasa
(
7. Ndugu Dr. Damas Daniel NDUMBARO Songea Mjini
8. Ndugu Omary Marcus MSIGWA Madaba
9. Ndugu Jenista Joakim MHAGAMA Peramiho
21. SHINYANGA
1. Ndugu Ahmed Ally SALUM Solwa
2. Ndugu Azza Hillal HAMAD Itwangi
3. Ndugu Patrobass Paschal KATAMBI Shinyanga Mjini
4. Ndugu Lucy Thomas MAYENGA Kishapu
5. Ndugu Benjamin Lukubha NGAYIWA Kahama Mjini
6. Ndugu Mabula Johnson MAGANGILA Msalala
7. Ndugu Emmanuel Peter CHEREHANI Ushetu
22. SIMIYU
1. Eng. Kundo Andrea. MATHEW Bariadi Mjini
2 Ndugu Masanja Kungu KADOGOSA Bariadi Vijijini
3 Ndugu Simon Songe LUSENGEKILE Busega
4 Ndugu Njalu Daudi SILANGA Itilima
5 Ndugu George Venance LUGOMELA Maswa Mashariki
6 Ndugu Mashimba Mashauri NDAKI Maswa Magharibi
7 Ndugu Salum K Khamis SALUM Meatu
8 Ndugu Musa Godfrey MBUGA Kisesa
23. SINGIDA
1 Ndugu Yagi Maulid KIARATU Singida Mjini
2 Ndugu Haiderali Hussein GULAMALI Ilongero
3 Ndugu Jesca David KISHOA Iramba Mashariki
4 DR. Mwigulu Lameck NCHEMBA Iramba Magharibi
5 Ndugu Thomas Mgonto KITIMA Ikungi Mashariki
6 Ndugu Elibariki Immanuel KINGU Ikungi Magharibi
7 Dkt. Pius Stephen CHAYA Manyoni
8 Ndugu Yohana Stephen MSITA Itigi
24. SONGWE
1 Ndugu Japheti Ngailonga HASUNGA Vwawa
2 Ndugu Onesmo.M. MNKONDYA Mbozi
3 Ndugu David Ernest SILINDE Tunduma
)
4 Ndugu Condester Michael SICHALWE Momba
5 Ndugu Philipo Augustino MULUGO Songwe
6 Ndugu Godfrey M. KASEKENYA Ileje
25. TABORA
1 Ndugu Amosy William MAGANGA Sikonge
2 Ndugu Hawa Subira MWAIFUNGA Tabora Mjini
3 Ndugu Joseph Enock TAMA Kaliua
4 Ndugu Japhael Masanja LUFUNGIJA Ulyankulu
5 Ndugu Hussein Mohammed BASHE Nzega Mjini
6 Ndugu John Stephano LUHENDE Bukene
7 Ndugu Neto Paul KAPALATA Nzega Vijijini
8 Ndugu Henry C. KABEHO Igunga
9 Ndugu Abuubakary A. OMARY Manonga
10 Ndugu Shaffin Ahmedal SUMAR Uyui
11 Ndugu Juma Ramadhani MUSTAFA
(KAWAMBA)
Igalula
12 Ndugu Margaret S. SITTA Urambo
26. MKOA WA TANGA
1 Ndugu Kassimu Amari MBARAKA Tanga
2 Ndugu Rashidi Abdallah SHANGAZI Mlalo
3 Ndugu Shemdoe Riziki SILAS Lushoto
4 Ndugu Ramadhani Hamza SINGANO (ENG) Bumbuli
5 Ndugu Hamis MWINJUMA (Mwana FA) Muheza
6 Ndugu Twaha Said MWAKIOJA Mkinga
7 Ndugu Salehe Mbwana MHANDO Kilindi
8 Ndugu Jumaa Hamidu AWESO Pangani
9 Ndugu Charles Jacob SUNGURA Handeni Vijijini
10 Ndugu Charles Mhando NJAMA Korogwe Mjini
11 Ndugu Timotheo P. MNZAVA Korogwe Vijijini
12 Ndugu Kwagilwa Reuben NHAMALILO Handeni Mjini
*
WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KWA NAFASI ZA UBUNGE
WA VITI MAALUMU MIKOA KWA UPANDE WA
TANZANIA BARA
1. MKOA WA ARUSHA
1. Ndugu Marirta Gido KIVUNGE
2. Ndugu Chiku Athuman ISSA
2. MKOA WA DAR ES SALAAM
1. Ndugu Janeth Elias MAHAWANGA
2. Ndugu Amina Good SAID
3. MKOA WA DODOMA
1. Ndugu Neema Peter MAJULE
2. Ndugu Jesca Yuda MBOGO
4. MKOA WA GEITA
1. Ndugu Regina Henry MIKENZE
2. Ndugu Josephine Tabitha CHAGULA
!+
5. MKOA WA IRINGA
1. Ndugu Rose Cyprian TWEVE
2. Ndugu Nancy Hassan NYALUSI
6. MKOA WA KAGERA
1. Ndugu Devotha Daniel MBURARUGABA
2. Ndugu Samira Khalfani AMOUR
7. MKOA WA KATAVI
1. Ndugu Martha Festo MARIKI
2. Ndugu Taska Restituta MBOGO
8. MKOA WA KIGOMA
1. Ndugu Zainabu Athumani KATIMBA
2. Ndugu Naomi Duncan MWAIPOPO
9. MKOA WA KILIMANJARO
1. Ndugu Esther Edwin MALLEKO
2. Ndugu Zuena Athumani BUSHIRI
10. MKOA WA LINDI
1. Ndugu Kijakazi Yunus MOHAMED
2. Ndugu Zainabu Rashidi KAWAWA
11. MKOA WA MANYARA
1. Ndugu Regina Ndege QWARAY
2. Ndugu Yustina Arcadius RAHHI
!!
12. MKOA WA MARA
1. Ndugu Agness Mathew MARWA
2. Ndugu Ghati Zephania CHOMETE
13. MKOA WA MBEYA
1. Ndugu Suma Ikenda FYANDOMO
2. Ndugu Maryprisca Winfred MAHUNDI
14. MKOA WA MOROGORO
1. Ndugu Lucy Similya KOMBANI
2. Ndugu Sheila Edward LUKUBA
15. MKOA WA MTWARA
1. Ndugu Agness Elias HOKORORO
2. Ndugu Asha Salum MOTTO
16. MKOA WA MWANZA
1. Ndugu Mary Francis MASANJA
2. Ndugu Kabula Enock SHITOBELA
17. MKOA WA NJOMBE
1. Ndugu Pindi Hazara CHANA
2. Ndugu Rebecca Sanga NSEMWA
18. MKOA WA PWANI
1. Ndugu Hawa Mchafu CHAKOMA
2. Ndugu Mariam Abdallah IBRAHIM
19. MKOA WA RUKWA
!"
1. Ndugu Sylivia Francis SIGULA
2. Ndugu Jacqueline Chrisant MZINDAKAYA
20. MKOA WA RUVUMA
1. Ndugu Jacqueline Ngonyani MSONGOZI
2. Ndugu Mariam Madalu NYOKA
21. MKOA SHINYANGA
1. Ndugu Santiel Erick KIRUMBA
2. Ndugu Christina Christopher MNZAVA
22. MKOA WA SIMIYU
1. Ndugu Tinnar Andrew CHENGE
2. Ndugu Ester Lukago MDIMU
23. MKOA WA SINGIDA
1. Ndugu Marth Nehemia GWAU
2. Ndugu Aysharose Ndogholi MATTEMBE
24. MKOA WA SONGWE
1. Ndugu Juliana SHONZA
2. Ndugu Neema C. MWANDABILA
25. MKOA WA TABORA
1. Ndugu Aziza Slyeum ALLY
2. Ndugu Christina Solomon MNDEME
!#
26. MKOA WA TANGA
1. Ndugu Husna Juma SEKIBOKO
2. Mwanaisha Ng’anzi ULE
WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KWA NAFASI ZA UBUNGE
WA VITI MAALUMU MAKUNDI KWA UPANDE WA
TANZANIA BARA
A: KUNDI LA NGO’S
1. Ndugu Magreth Baraka EZEKIEL
2. Ndugu Rahma Riadh KISUO
B: KUNDI LA WANAWAKE WA VYUO VIKUU
1. Ndugu Selina Henry KINGALAME
2. Ndugu Asha Juma FERUZI
3. Dkt. Regina Christopher MALIMA
C: KUNDI LA WAFANYAKAZI
1. Ndugu Halima Iddi NASSOR
2. Ndugu Mariam Anzuruni MUNGULA
D: KUNDI LA WANAWAKE WENYE ULEMAVU
1. Ndugu Ummy Hamisi NDERIANANGA
2. Ndugu Stela Ikupa ALEX
3. Ndugu Aisha Msantu MDUYAH
!$
E: KUNDI LA VIJANA
1. Ndugu Ng’wasi Damas KAMANI
2. Ndugu Jesca John MAGUFULI
3. Ndugu Halima Abdallah BULEMBO
4. Ndugu Lulu Guyo MWACHA
5. Ndugu Timida Mpoki FYANDOMO
6. Ndugu Jasmin Chesco NG’UMBI
F: KUNDI LA WAZAZI
1. Dkt. Catherine Canute JOAKIM
Mwisho
Chama kinawatakia maandalizi mema ya kampeni za Uchaguzi Mkuu chini ya
usimamizi wa uratibu wa CCM ngazi za Mikoa, Wilaya na Majimbo husika.
Aidha, NEC inazitaka kamati za siasa ngazi zote kujipanga kikamilifu ili
Chama chetu kipate ushindi wa kishindo.
Wanahabari wakimskikiliza kw makini
Comments
Post a Comment