MAADILI KWA VIJANA YAMESHUKA WAKIINGIA MADARAKANI WATAYAFANYIA KAZI--NCCR-MAGEUZI

Mgombea Urais wa Chama cha NCCR-Mageuzi,Haji Ambar Khamis (kushoto), akipongezana na viongozi na mashabiki wa chama chake baada ya kuwasili Makao Makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliyopo Njedengwa jijini Dodoma leo.
Mgombea Haji akisalimiana na Mgombea Mwenza  Dkt. Evalinr Wilbard Munisi, baada ya kuwasili ofisi za Tume


Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akiwaongoza wagombea hao kuingia ofisi za tume kwenda kuchukuwa fomu








Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akimkalibisha Mwenyekiti wa Tume hiyo kuwakabidhi fomu




Wanahabari wakichukuwa matukio 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akiwasomea taratibu za kujaza fomu atakazowakabidhi




Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba Mgombea Urais wa Chama cha NCCR-Mageuzi,Haji Ambar Khamis (kushoto) ni Mgombea Mwenza wake Dkt.Evaline Wilbard Munisi na (kulia) ni  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima 



































Mkurugenzi Kailima, akiagana nao baada ya kuchukua fomu


Mgombea Haji, akizungumza na wanahabari, alisema hivi  sasa  maandili katika nchi yamepungua watoto wamepewa uhuru mkubwa, mfano wanamuziki wetu wanaweza kuamka asubuhi na kutunga nyimbo ambazo huwezi kuzisikiliza ukiwa na familia yako hata video ni aibu kwa taifa. aidha amesema itamchukua mwezi mmoja tu tangu aingie madakani kuanzisha mchakato wa katiba ulioishia njiani katika utawala wa awamu ya nne.






































 

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?