DKT NCHIMBI AMPOKEA DKT MIGIRO NA KUMKABIDHI OFISI MAKAO MAKUU YA CHAMA DODOMA LEO.

Wanaccm na Mashabiki wa chama hicho wakiongozana na gari lililomchukua Katibu Mkuu wa Chama hicho Dkt Asha -Rose Migiro kwennda kukabidhiwa ofisi na Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake Dkt John Nchimbi makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma leo mchana.
Mwenyekiti wa umoja wa Wanawake wa CCM, Mary Chatanda, akiongoza viongozi wa Chama  hicho kumpokea Katibu Mkuu Mpya wa Chama hicho Dkt. Asha -Rose Migiro, alipowasili leo Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dodoma kwa ajili ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa katibu Mkuu Dkt. Emmanuel Nchimbi



Dkt. Migiro, akivalishwa skafu na chipukizi wa chama hicho baada ya kuwasili 










Makada na wana Ccm wakiwa makao makuu ya Ccm Dodoma wakimlaki katibu mkuu wa Ccm Mpya  Dkt.Asha Rose Mingiro ambaye amefika ofisini kwa Mara ya kwanza na kupokelewa na katibu mkuu mstasfu na mgombea mwenza Comred Dkt Emanuel John Nchimbi


Akivalishwa vazi la Kigogo 











 

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?