CHAUMMA (UBWABWA ) WACHUKUWA FOMU YA URAIS INEC

Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salim Mwalimu na mgombea mwenza wake , wakiwasili katika ofisi za Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi leo kwa ajili ya kuchukuwa fomu ya kuomba kugombea urais wa nchi hii




Mgombe mwenza Devotha Minja








Wajumbe wa Tume hiyo wakishuhudia tukio hilo

Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima, akimkalibisha  Mwenyekiti wa tume kumkabidha fomu mgpmbea huyo

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akisoma hotuba kabla ya kumkabidhi fomu hizo 



Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele,akimkabidhi Salum Mwalimu,mkoba wenye fomu 
Mgombea huyo akizungumza na waandishi wa habari akielezea vipaumbele vyake pindi akipewa ridhaa ya kuongoza Tanzania, atahakikisha Elimu, Kilimo na Afya zinatiliwa mkazo   matatizo yaliyopo kumalizika kabisa kila Mtanzania aishi Tanzania kama yupo peponi

Salim Mwalimu na Mgombea Mwenza Devotha Minja, wakiwa wamebeba mkoba baada ya kukabidhiwa

Mkurugenzi Kailima, akimkabidhi daftari la kusaini kwamba amekabidhiwa fomu

Mzee wa Chama  Mzee Hashim Rungwe, akishuhudia tukio hilo


Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima, akiwasindikiza baada ya kukabidhwa fomu




Wanachama wa chama hicho  waliofika kushuhudia
Moja ya magari ya msafara wa mgombea huyo
 

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?