CHAMA CHA MTIKILA (MAREHEMU) WACHUKUA FOMU WAGOMBEA WAKE

Wanachama na wafuasi wa Chama cha Democratic Party Tanzania (DP), wakimsindikiza mgombea wao kuingia ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi leo kuchukuwa fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Tanzania




Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima




Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akiwakalibisha wagombea wa chama cha DP ofisi za Tume hiyo kwa ajili ya kuwakabidhi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais



Wanachama wa Chama cha DP, wakiwa ofisi za Tume

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akimkabidhi mgombea Urais wa Chama cha DP, Abdul Juma Mluya, mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais








Mkurugenzi akimkabidhi mgombea urais kusaini daftari kwamba amechukuwa fomu 





Mkurugenzi wa uchaguzi Kailima, akiwasindikiza na kuwaaga baada ya kuchukuwa fomu


Mgombea akizungumza na wanahabari  baada ya kuchukuwa fomu ,aliwaambia  atahakikisha wananchi wa Tanzania wataondokana na unyonge wa kukosa vyakula na huduma mbalimbali muhimu, mgombea huyo alifikaofisi za tume majira ya saa 3 akiwa ameambatana na wafuasi na wanachama wa chama hicho kushuhudia   

 

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?