ACT WAZALENDO WACHUKUA FOMU YA URAIS BRECK MWANDOYA KUSAKA WADHAMINI

Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhanga Mpina na mgombea mwenza Fatma Abdulhabib Ferej, wakiwasili ofisi za Tume ya Uchaguzi jijini Dodoma leo





Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akiwaongoza wagombea hao kwenye ukumbi kwa ajili ya kukabidhiwa fomu za kugombea urais na Mwenyekiti wa Tume






Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima, akimkalibisha Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kuwakabidhi fomu





Wanahabari wakiwajibika katika tukio hilo




Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akiwasomea masharti yaliyopo katika mkoba atakaowakabidhi Mgombea na Mgombea mwenza


Mpina na Mgombea Mwenza wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti huyo alipokuwa akiwasomea





 
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, akimkabidhi Luhanga Mpina mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa rais wa Tanzania (kushoto) ni Mgombea Mwenza wake Fatma Abdulhabib Ferej, na (kulia) ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima








Mkurugenzi Kailima, akimwelekeza Mpina sehemu ya kusaini baada ya kupokea fomu






Mkurugenzi Kailima, akiwaaga baada ya kukabidhiwa fomu








 

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?