WABUNGE WATALAJIWA WA MAJIMBO YA BUSANDA, SENGEREMA NA GEITA MJINI

William Mganga  Ngeleja aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Sengerema mwaka 2005 hadi 2020 ametia nia ya Ubunge jimbo la sengerema kupitia CCM ,Ngeleja amewahi kuwa waziri wa madini na nishati
William Mganga Ngeleja baada ya wananchi  kufunga njia wakati akirudi kutoka kuchukua fomu wakimshinikiza asalimiane nao hatua iliyomlazimu kushuka ndani ya gari lake na kusallimiana nao kwa madai nidhamu na uwajibikaji bado wanaukumbuka


Wakili Malogoi achukua fomu tena jimbo la Geita mjini
Mhandisi Robert Gabriel achukua fomu kumtoa Kanyasu Geita Mjini 
Mhandisi Gabriel Luhumbi Robert mkuu,wa mkoa mstaafu ametia nia nae ubunge jimbo la Geita mjini kupitia chama  cha mapinduzi.

Dkt. Busanda atia nia ya kugombea jimbo la Busanda nafasi ya ubunge


Mh. Costantine Kanyasu aomba tena ridhaa jimbo la Geita Mjini


 Wakili Malogoi achukua fomu tena jimbo la Geita mjini

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?