MBUNGE WA BAHI ANAYEMALIZA MUDA WAKE KENNETH NOLLO ACHUKUWA FOMU YA UBUNGE

Mbunge  Jimbo la Bahi, Kenneth Ernest Nollo, akijaza kumbukumbu zake katika daftari la wageni lililopo katika Ofisi za Chama cha Mapunduzi Wilaya ya Bahi baada ya kuwasili na mkewake kwa ajili ya kuchukuwa fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu. huu ni mchakato wa mwanzo kwenye chama chao cha CCM, akizungumza baad2a ya kuchukua fomu alisema yeye bado anahamu ya kuwatumikia wanabahi chama chao kinawapa uhuru mwanachama yeyote aliyetimiza vigezo anaweza kuomba kura kwa wananachi
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Paulina Deus Bupamba (kulia), akimkabidhi fomu za kuomba kugombea ubunge wa jimbo hilo Mbunge wa sasa wa jimbo hilo Kenneth Nollo, makabidhiano hayo yalifanyika mchana leo huku akiwa ameambatana na mkewe (kushoto).  Hadi leo saa 7 mchana wagombea 7  walikuwa wamechukuwa fomu za ubunge.


 

Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?