JIMBO LA DODOMA MJINI LAPATA MGOMBEA WA KIKE KIJANA-----FATUMA YUSUFU
Katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini Sophia Kibaba (kushoto), akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge FatumaYusufu, ambaye anagombea jimbo la Dodoma mjini. amechukua fomu hiyo baada ya kuvutiwa na kauri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoisema wakati akifunga bunge hivi karibuni akiwataka vijana wajitokeze na wapewe kipaumbele . Alisema Akifanikiwa kuchaguliwa atawatumikia Wanadodoma mjini kwa moyo mmoja na kuwa nao bega kwa bega.
Fatuma Yusufu, akionyesha fomu yake kwa wanahabari baada ya kukabidhiwa
Fatuma Yusufu, akionyesha fomu yake kwa wanahabari baada ya kukabidhiwa
Comments
Post a Comment