MAAGIZO MAALUM KWA KATIBU MKUU CCM KUHUSU UTEUZI WA WAGONBEA

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 30, 2025, ametoa maagizo mahsusi kwa Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mchakato wa uteuzi wa wagombea kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Agizo hilo limetolewa wakati wa hotuba yake kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jijini Dodoma, ambapo pia alizindua Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha 2025–2030.




Comments

Popular posts from this blog

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?